Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook

Yanga Ikubali Jambo Moja Tu Kwa Sasa

▼▼▼Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYEZA HAPA CHINI▼▼▼
Kuna wakati katika maisha ukiukubali ukweli basi utakufanya uwe huru katika kusimamia ukweli wa jambo husika.
Ukweli ulio wazi kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara hivi sasa ni kuijenga upya timu ambayo imedhoofika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na misimu mitatu nyuma ambayo ilikuwa bora kila idara , bora kiuchumi hadi uwanjani.
Yanga inapambana kutetea taji lake la ligi kuu ilihali kwa sehemu kubwa ya kikosi chake kikiwa na mapungufu ya kiufundi. Mapungufu ambayo yanawafanya kuwa vitani bila silaha kamili bali kutegemea kudra kwa kile walichonacho mkononi.
Misimu kadhaa nyuma klabu hii kongwe kabisa nchini ilikuwa ikitawaliwa na idadi kubwa ya wachezaji wenye uwezo wa kupambana na kupata matokeo chanya katika uwanja wowote ( Quality players ) lakini kwa swhemu kubwa hivi sasa Yanga inatawaliwa na averaged players pia majeruhi. Majeruhi wa miili kwa maana ya injury na wachache ambao nyoyo zao zimejeruhiwa kwa madeni wanayoidai klabu ambayo yanawafanya waingie uwanjani bila ari na moyo wa kupambana kwa ile desturi na tamaduni jadidi ya klabu hii.
Wanachotakiwa Yanga kama klabu na kama timu ni kukubali wapo katika kipindi cha kuisuka upya timu ili wawe na malengo ya muda mfupi na muda mrefu. Hi itawafanya kutoa fursa kwa vijana ambao wameanza kuwasuka kuanzia mechi za kombe la Mapinduzi.
Mchezo wa leo kipindi cha pili walipoingia kina Saidi Mussa angalau fighting spirit ya timu kusaka ushindi ilionekana . Pressure ya kutafuta matokeo inalifanya benchi la ufundi kuukataa ukweli kuwa idadi kubwa ya wachezaji wao ni averaged na wapinzani wamewasoma hivyo mbinu mbadala katika lengo la kuisuka Yanga mpya linatakiwa kupewa kipau mbele.
Mfano Kombinesheni ya Ajibu, Tambwe na Rafael Daudi bado ni tatizo kwa Yanga. Tambwe toka atoke majeruhi bado hajarudi mchezoni na Yanga kwa hivi sasa haina mawinga wazuri pembeni kama Saimoni Msuva ambao walikuwa wanamtengenezea mipira mizuri ya juu kufunga hali inayomfanya muda mwingi kucheza chini au rahisi kukabika. Udhaifu wa Ngoma unamfanya Ajibu kurudi sana chini hali inayovuruga ule muunganiko mzuri wa viungo wa kati kuchezesha timu . Ajibu alitakiwa kuwa final playmaker aidha kumchezesha Tambwe au mawinga wevye mashuti mazuri kwenye edges.
Lakini kama dhana ya kujenga timu Yanga wangeikubali kwa maana ya kuitengeneza timu ya ushindani binafsi leo nilitegemea kwenye forward line kuwaona Rafael Daudi kama kiungo mchezeshaji akitengeneza link na Ibrahim Ajibu na mshambuliaji wa kati Yohana Nkomola akianza huku kulia akicheza Saidi Musa na kushoto Emanuel Martini. Sina shaka na Makapu kusimama na Rafael Daudi. Hivi karibuni amekuwa na moyo wa kujituma.
Ni dhahiri wimbi la majeruhi linaigharimu timu lakini kama klabu lazima iwe na focus kwa mashindano yaliyopo mbele yake na jinsi gani ya kutengeza kikosi kipana chenye ubora unaolingana.
Mwezi ujao yaani mwezi wa pili Yanga itaanza safari yake katika michuano ya klabu bingwa Afrika ni dhahiri msingi wa ligi kuu na kombe la FA ndio utaakisi ushiriki wa timu hiyo katika michuano hiyo mikubwa zaidi Afrika ngazi ya vilabu.
Usukwaji upya wa timu una gharama zake na lazima Yanga kama klabu wazikubali na wazihesabu kama changamoto. Azam FC walipoamua kuachana na wakongwe wao walijikita vyema katika dhana sahihi ya kusuka upya kikosi kwa kutumia vijana na wachezaji wenye viwango vizuri toka nje tena damu changa . Maandalizi yao ya kuzunguka ndani ya nchi na nje ya nchi ndio matunda yao leo kwa kuanza na kuchukua kombe la Mapinduzi pia wakiwa vyema katika msimamo wa ligi kuu kwa kupishana magoli tu na Simba SC wote wakiwa na alama 26 lakini pia wakizalisha vijana shupavu kama Yahya Zayd.
Dhana ya kuijenga upya klabu pia Yanga wajitathimini katika idara ya tiba . Matibabu mazuri yatapelekea kutokuwa na idadi kubwa ya majeruhi na itajenga saikolojia ya wachezaji kujituma uwanjani wakiamini hata wakiumia kuna huduma nzuri ya tiba.
SAMUEL SAMUEL
▼▼▼Tazama VIDEO Hapa Chini Wema Sepetu Na Idrisa Wakingonoka Kitandani▼▼▼

Tupe Maoni Yako