Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook

AJIBU AWAOMBA RADHI MASHABIKI YANGA SC

▼▼▼Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYEZA HAPA CHINI▼▼▼
Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahimu Ajibu.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahimu Ajibu amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kuendelea kuwaunga mkono msimu huu katika harakati zao za kuhakikisha wanatetea ubingwa wao wa Ligi Kuu Bara.

Ajibu amefikia hatua hiyo baada ya baadhi ya wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuto­vutiwa na kiwango cha timu hiyo ilichokionyesha hivi karibuni katika mechi mbili za ligi kuu ilipotoka suluhu dhidi ya Mwadui FC, kabla ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting.

Katika mechi hizo, Yanga ilionyesha kiwango cha chini jambo ambalo liliwafanya baa­dhi ya wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuanza kupoteza matumaini ya timu hiyo kutetea ubingwa wake.

Akizungumza na Championi Jumatano, Ajibu amsema kuwa Yanga bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wake hivyo mashabiki wa timu hiyo hawapas­wi kukata tamaa mapema wakati mechi bado nyingi.

“Tunawaomba waendelee kutu­unga mkono, hali hii iliyotokea hivi sasa ni kipindi cha mpito kwa hiyo naamini tutakuwa sawa na tuta­tetea ubingwa wetu,” alisema Ajibu ambaye alijiunga na Yanga hivi karibuni akitokea Simba.
▼▼▼Tazama VIDEO Hapa Chini Wema Sepetu Na Idrisa Wakingonoka Kitandani▼▼▼

Tupe Maoni Yako