Serikali Yatoa Msimamo Wake Kwa Klabu Ya Simba Kuhusu Suala La Uwekezaji
▼▼▼Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYEZA HAPA CHINI▼▼▼
Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria nakanuni zinayosimamia suala la uwekezajikwa Klabu zilizoanzishwa na wanachamaambapo wanachama wanachukua 51% namwekezaji anachukua 49%.
Msisitizo huo umetolewa jana jijini Dar esSalaam na Waziri wa Habari UtamaduniSanaa na Michezo Dkt.HarrisonMwakyembe alipokutana na uongozi waKlabu ya Simba na kuzungumza naokufuatia kutoa asilimia 50% kwamwekezaji wa klabu hiyo Bw.MohamedDewji waliyemtanganza hivi karibuniambapo ni kinyume na sheria.
“Kanuni zinazosimamia masuala ya udhamini kwa vilabu zilifanyiwamarekebisho Novemba 2017 kwa ambapoilioneka ni vyema klabu za michezozilizoanzishwa na wanachamawanapopata muwekezaji basi mwekezajiachukue 49% na wanachama kutoka namchango wao kwa mkubwa kwa klabuhiyo basi wapewe 51% lengo ikiwa nimwanachama aweze kunufaikavizuri,”Dkt.Mwakyembe.
Akiendelea kuzungumza katika mkutanohuo na waandishi wa habari MheshimiwaMwakyembe alisema kuwa serikali ya awamu ya tano hajaja kuuwa michezo balilengo lake ni kuboresha michezo nakuifanya kuwa na tija zaidi pamoja nakuleta maendeleo endelevu katika sektahiyo.
Naye Katibu wa Baraza la Michezo TaifaBw.Mohamed Kiganga alieleza kuwa ofisi yake ipo katika maandalizi ya kuwaandikia barua Klabu ya Simba ya wapamsisitizo wa Serikali katika kuzingatia sheria katika suala la udhamini na barua hiyo itawafikia wiki ijayo.
Kwa Upande wa Kaimu Rais wa Klabu ya Simba Bw.Salim Abdallah alieleza vyombo vya habari kuwa wanashukuru serikali kwa kuwaeleza kuwa milango iko wazi pale watakapo kuwa na tatizo au watakapo hitaji ushauri wanaweza kuonana na watendaji wake.
▼▼▼Tazama VIDEO Hapa Chini Wema Sepetu Na Idrisa Wakingonoka Kitandani▼▼▼
Tupe Maoni Yako