Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook
Like Us On Facebook

Bavu Aunguruma Hali Ya Nkomola

▼▼▼Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYEZA HAPA CHINI▼▼▼
Daktari wa  klabu ya Yanga Dk Edward Bavu amethibitisha kuimarika kwa hali ya mshambuliaji wa hiyo, Yohana Nkomolani njema na yupo tayari kurejea dimbani leo ili kuendelea na mazoezi na wachezaji wenzake.
Nkomola ambae aliumia kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ulipigwa katika uwanja taifa haliiliyopelea kushindwa kuumudu mchezo na kutolewa nje mapema katika kipindi cha kwanza.
“Baada ya majeraha yaliyomlazimu kutolewa nje kwenye mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting, Yohana Nkomola yuko na hali nzuri kwa sasa na atakuwa sehemu ya kikosi kwenye mazoezi kesho asubuhi kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam FC,” amesema Dk Bavu
Katika mchezo huo kwa kukumbushia tu nikuwa mabingwa hao watetezi waliibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 goli lililofungwa dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza na Pius Buswita.
▼▼▼Tazama VIDEO Hapa Chini Wema Sepetu Na Idrisa Wakingonoka Kitandani▼▼▼

Tupe Maoni Yako